
Mikate Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Mikate - AIC Chang'ombe Vijana Choir
...
mtu awezi kuishi pekeake kwa mikate Mimi siwezi kuishi pekeangu kwa mikate wewe uwezi kuishi pekeako kwa mikate bali kwa neno la uzima bali kwa neno la uzima x2 kweli kwa neno la uzima tuishi kwa neno la uzima
watu wanapenda mikate,,mikate x3
mikate mikate X3
yesu alipolisha watu 5000 mikate na Kesho yake walimtafuta awape mikate bwana yesu alipofanya muujiza wa mikate Kesho yake watu walifurika awape mikate
mikate X 3 umthaniae sie ndie akipewa
mikate Judah alimsaliti yesu sababu ya mikate watu wengi uuza haki zao kwa kitu mikate Esau alikosa baraka kwa sababu ya mikate
mikate X 3 jamani mikate
mikate X 4 watu wanapenda mikate mikate X 2 watu wanapenda penda mikate watu wanapenda mikate
Huna sifa ya kuongoza Bali Unayo mikate utapata Kura nyingi kwa kugawa iyo mikate ona haki inavyopindisha kwa sababu ya mikate wanyonge ukosa haki i sababu hawana mikate ujanja ujanja kila Kona sababu ya mikate watu wanasema uongo hili wapewe mikate mauaji ya kinyama usababisha na mikate vita vya wenyewe kwa wenyewe vinalenga mikate
mikate X 3 jamani mikate tutafute kwanza uso wa bwana Ayo mengine tutaongezwa tutafute Kwanza ufalme wa bwana hayo mengi tutaongezwa
mtu awezi kuishi pekeake kwa mikate
Mimi siwezi kuishi pekeangu kwa mikate wewe uwezi kuishi pekeako kwa mikate
mbali kwa neno la uzima x2 kweli kwa neno la uzima kweli kwa neno la uzima x2