
Jinsi Zilivyo Kuu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
damnlyrics.com
Jinsi Zilivyo Kuu
AIC Chang'ombe Vijana Choir
Jinsi zilivyo kuu tajiriba na hekima na maarifa ya Mungu, hukumu zake hazichunguziki wala hazitafutikani, maana ni nani aliyeijua njia ya Bwana,au ni nani aliyekuwa mshauri wake Mungu??
Nitayakumbuka matendo ya Bwana nami nitayakumbuka, maajabu yake ata leo (yoyoyo) aa.., pia nitaitafakari kazi yako yote nitaziwaza habari za matendo yako ee Mungu njia yako, nikatika utakatifu ni nani aliye Mungu mkuu, njooni sikieni nyote mnaomcha Mungu,nasi tutatangaza mambo yote,mpigieni Mungu kelele za changwe...
Nani aliye juu yake Bwana Mungu, matendo yake Mungu ni hajabu sana, mtukuzeni Mungu enyi mataifa yote, imbeni kwa furaha msifuni Mungu
Similar Songs
More from AIC Chang'ombe Vijana Choir
Listen to AIC Chang'ombe Vijana Choir Jinsi Zilivyo Kuu MP3 song. Jinsi Zilivyo Kuu song from album Jihadhari is released in 2013. The duration of song is 00:05:39. The song is sung by AIC Chang'ombe Vijana Choir.
Related Tags: Jinsi Zilivyo Kuu, Jinsi Zilivyo Kuu song, Jinsi Zilivyo Kuu MP3 song, Jinsi Zilivyo Kuu MP3, download Jinsi Zilivyo Kuu song, Jinsi Zilivyo Kuu song, Jihadhari Jinsi Zilivyo Kuu song, Jinsi Zilivyo Kuu song by AIC Chang'ombe Vijana Choir, Jinsi Zilivyo Kuu song download, download Jinsi Zilivyo Kuu MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
Zena Jumapili
@denis alex:
ujumbe mzuri xn[0x1f60e][0x1f623][0x1f603][0x1f621]
Fedrick Petros2t4p
wimbo huu naupenda nawatunz nawap pongez
Naomy Nyanchera
congrats aki i really love your songs they inspire me spiritually....keep going..al the best
Malikegi2j
wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow
alphonce lukonu
pongenzi kwenu watunz wahuu wimbo
Gogadi Nana
hakika wimbo huu unanisaidia kuiona mbingu
John Emanueli
amen
Nawapenda Sana Kwanzaa ujumbe Wa nyimbo zenu haswa hu hapa
Frank Msinga
Nawapenda Sana Kwanzaa ujumbe Wa nyimbo zenu haswa hu hapa
AMEN watumishi