Vices Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Tapi niki axe vices kwa ya Alex Vice
Whipping this kids, waache kuwa pesci fill me, ongeza voice
Juu game iko rigged how do you win kwa hii biz
Underground ina lack real buzz A-Listers waki drop weak barz
Crowd wana react ,OMG like Ni royal flash, GTFOH
Kukata maji, mandranya, na luku ndio program
Group think, popularity contest, ndio rogue ram
Kids wana starve na unabrag vile una sponsor felines IDGAF
Wapi ratili, kati ya flying toilet na new dior
Open siwa na penthouse 5 mile radius
Poteza jamii, new dope ni betting
Corruption is all see, only hope ni vetting
Contrast ya, draft na chess, maybe am daft
Complimenting hizi chameleons two forward one back
No surprises, just vices, on our devices
Advancement with a price kupoteza masses
Ref alimeza firimbi, but i still take chances
Kutafuta ya wimbi, siwezi kufa sic
No surprises, just vices, on our devices
Advancement with a price ya kupoteza masses
Ref alimeza firimbi, but i still take chances
Kutafuta ya wimbi, siwezi kufa sic
Onyo kwao wapunguze matusi na kuongea upuzi
Vile wana move mouth loosly naweza pull up solo
Nikiwa cruzing kwa two seat
Nikianza za bruce lee utadhani ni movie
Soki, headi ukiskia nduru si hajali
Haimati na sijali, ukidhani ni you na aim at
If the shoe fits na you got bars, hola back
Real spitters back usi adjust your speakers
Hii si drill real deal P-Tah park er pen out
Tukiwapa coffee juu Wali get comfy kwa drivers seat
Time wa wake up, ati drip drip boss punguza make up
Game Nai shake up vile na drop kick kwa snare
Ongeza shaker fans wa clap, ironic iconics news reporters ndio news now
Gatekeepers mapua brown clout chasing
Kucheza za out of town hometeam hawa crown
Wasanii washachosha na za subscribe to my channnel
No surprises, just vices, on our devices
Advancement with a price kupoteza masses
Ref alimeza firimbi, but i still take chances
Kutafuta ya wimbi , siwezi kufa sic
No surprises, just vices, on our devices
Advancement with a price ya kupoteza masses
Ref alimeza firimbi, but i still take chances
Kutafuta ya wimbi, siwezi kufa sic
Online walikua gladiators in flesh wali leg it
Wakisema na force it wali lack hii foresight
So no loose lips tuki stack chips karibu zi sink ship
Sahii me na doc tuna kick in door ku make doh
We umekaokota utakula aje
Na uki cheki mwezi, wezi wanaongezeka tukizeeka
Na kitu uwezi niona in ni tight jeans
Juu kitambi ili come looks like I tried lean
Kwa stu home kupepeta beat ka Tai Chi
Whatever I see iki ni katsia mi u i voice it
Coz nothings left juu ya over spending
On his right, uyo mazi cakie ilikua Stacie
Kisparki vitu alikua ana whisper, uwezi imagine
Lakini alikua maji na mi spendi kesi
Mbona ni chimbe futi sita juu ya saba after kulewa na nane
Aki beba kenda vile mi uwa ten toes
Uenda aje tukue mudslinging for likes IG
No surprises, just vices, on our devices
Advancement with a price kupoteza masses
Ref alimeza firimbi, but I still take chances
Kutafuta ya wimbi, siwezi kufa sic