Great Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Being great iko on my mind of late
Fully immersed unaweza feel niki trace fate
Winning ni a must when got what takes
Siwezi ingizi mistakes nothing worse ka kuishi na regret
Going harder than all a them
My work ethic noa hawo sio same
Na chase hizi ndoto nikiwa full mode kwa throttle
Kwa rear view ni vumbi inakaa ka pasia
Evidently evidence nili pass here
Kwa hii career na pita na kila barrier huwezi kua abiria
Kila morning bila worry kiunyama nasaka kujaza hizi pori
Ku jituma zaidi ya mtumwa hakuna sorry kwa hii story
We take shots, miss shot, only worry ni ya next shot
On my training before training i-start
Suicide drills hawezi de-rail
Shift hapa ni ya graveyard
The rest too eager waki puliza gunia nothing new here
Yangu nia, ni giving you my best work ni kiwa at my best
Let me stress hawezi stack hizi figgas bila kuiga greats
Si coincidence consistency ina breed excellence
Nime level up no days off
Going hard leaving nothing in the tank
Outcome ya income wa spend the rest spending
Sipendi ku worry ka wana weza afford it
So up all night niki study all the greats niki ongeza passion
Being great iko on my mind of late
Fully immersed unaweza feel niki trace fate
Winning ni a must when got what takes
Siwezi ingizi mistakes nothing worse ka kuishi na regret
Being great iko on my mind of late
Fully immersed unaweza feel niki trace fate
Winning ni a must when got what takes
Siwezi ingizi mistakes nothing worse ka kuishi na regret
Since ni kick in door kwa scene
All of a sudden naskia wana taka kuimba za ma gal dem
Tapi at his finest ni a budden no one can chill with me garden
Strategy nime device ya kua the best
Na ita come na higher price, though sijawai kuwa mgamu
Niki wa take take on my first take
Picture nikutumia Halle berry ujumbe kwa blackberry
Beat ni ya Afrka mashariki kwa scene si afryka kusin
Cousin itakua big sin ku-i-confuse na ya Maleek Berry
Yeah mwambia akate simu juu tupo on site
Truth be told records not selling usiwatche wakuingize u-faily
Fake it till you make it
Most of them ni thespians
Kuiga za america kukuingiza ndio watoke
Michezo za kuigiza ama miereka gizani ndio waomoke
Aiwoshe haitawezi wash here
Kuzaliwa eastlando
Si doubt ushaona mengi
Being great iko on my mind of late
Fully immersed unaweza feel niki trace fate
Winning ni a must when got what takes
Siwezi ingizi mistakes nothing worse ka kuishi na regret
Being great iko on my mind of late
Fully immersed unaweza feel niki trace fate
Winning ni a must when got what takes
Siwezi ingizi mistakes nothing worse ka kuishi na regret
Ukicheki hali ya maisha ni Ali 8th round kwa roper-dope
On my toes nime simamia foreman a true show man
Ka songe kaki songa sharks in the water na zime smell blood
Uwezi afford izo loan iyo ni uclown chunga usi drown
Ma time mi utaka ku create kitu timeless
But then nikianza writing na find niko na time less
Who knows with time infite maybe ninge i-mess
Vile iliandikwa ndio itakua mliambiwa na sewer
The more things change the more zina stay the same
Working on my imperfections ni wache kua perfectionist
Kawaida uta ni find in loud places niki jaribu to quiet my mind
After ku jaribu meditation but the silence was too loud
Na penda familia lakini siwezi stand matrimony
Msupa nilifind alikua anatafuta mchumba kwa chupa
A true love for the bottle