Teacher ft. Chege Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Teacher ft. Chege - Chobis Twins
...
Tara raraa raraax2
oooohhhhh ohhhhhhhhh
kanimwagio maji ya mapenzi mwili kautakasa
kanipasiiooo pasi kwa bedi shuka twaichakaz
kanikaaa yani daah kwny roho kakaaa , nashangaaa naduwaa akinigusa nabung'aaa
ananichambua — aäeeeeh
anichachua —aaaeeh
ananizimua —aeeeh
Teacher ananigongea — kengele
nizipunguze — kelele
Anitumbue — kipele
Twapendana mm naye, twapendana oooh. tumeshibana mm nayee, tunapendana sana *2
ninapita chin ninapita juu kwa juu nikipita kushot na Kulia anabaki Analia
teacher namkunja nazama naibuka juu namkanda kiuno na mabega anabaki analia
Ananichanganya nikiloa chapa chapa kiuno feni jinsi navyokatakata, naye teacher wng jinsi anavyonichapa chapa natulia daddy
aaah. Raha napewaga kutwa, nami nampa sambusa asimamia ukucha chaukucha ananipa ngusa.
Ooooh kanikinga na madhila ya duniaaaaa aaah, kushea hatak nimetuliaaaaaa
kweli anaupiga mwingi vile unazidi hadi unanikumba uchizi, fujo tukisakata raha burudani izoo kelele za mwizi,
tenah anavyoipandia anakamata rungu nabonda ka jambazi, nae ananambia anavyoililia yan bila machozi
aaaah ananichambua, aaeeh
anänichachu ,aeeeeeh
anizimua, eehhhh
teacher ananigongea, kengele
nizipunguze ,kelele
anitumbueeeeee, kipele
twapendana mm naeee,oooh twapendana mm naeee
tumeshibana mm nae, tunapendana san , tunapendana mm nae twapendana ooh tumeshibana mm naeee tarariraaaaaa
kwel anaupiga Mwing vil hadi unnikumb uchiz, fujo tukisakata raha burudani izo kelele za mwiziiii
by meeeeee!!!!!
follow be officially smile