Hii Ndo Yanga Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
SISI NDO YANGA Lyrics
Intro:
Yanga, yanga, yanga, wanayanga
Yanga, yanga, yanga Afrika
Yanga, yanga, yanga, wanayanga
Yanga, yanga, yanga Afrika;
VERSE 1:
Kwetu shangwe na kelele;
Na vigeregere;
Kashakula mtu tano;
Yani kashakula mtu Kono;
Kiwanda cha raha;
Kiwanda cha burudani;
Yanga ya mabingwa;
Yanga watoto wa jangwani;
BRIDGE:
Aaaaah! Kwa hizi raha jamani;
Mtatuuwa kwa kisukari;
Yanga utamu umezidi;
Yanga ni tamu hatari
CHORUS:
Sisi ndoo, Yanga, yanga, yanga, wanayanga
Hii ndoo, Yanga, yanga, yanga Afrika
Oooh oooh oooh! Yanga, yanga, yanga, wanayanga
Hii ndoo, Yanga, yanga, yanga Afrika;
VERSE 2:
Mi niwape story;
Ya maisha yangu;
Kuhusu hiii;
Hiii timu yangu;
Nilipozaliwa;
Na mama yangu;
Neno la kwanza;
Mdomoni mwangu;
Sikulia ng'ang'a;
Nilitaja yanga nga;
Sikulia ng'ang'a;
Nilitaja yanga, oooooooh ooooh oooooh;
Oooooooooh Afrikaaaa
Hiii ndo yanga;
Ooooooh Afrika;
BRIDGE:
Aaaaah! Kwa hizi raha jamani;
Mtatuuwa kwa kisukari;
Yanga utamu umezidi;
Yanga ni tamu hatari
CHORUS:
Sisi ndoo oooh, Yanga, yanga, yanga, wanayanga
Oooooh oooooh, Yanga, yanga, yanga Afrika
Sisi ndoo ooooh! Yanga, yanga, yanga, wanayanga
Ooooh oooooh, Yanga, yanga, yanga Afrika;
Outro:
Piga makofi mawili kwa GSM;
Makofo mawili kwa Hersi;
Makofi mawili kwa Arafat;
Makofi mawili kwa benchi;
Twende makofi mawili kwa kikosii;
Makofi mawili kwa Kamwe;
Makofi mawili kwa Bugati;
Na tuwazomee makoloo;
Ooooooooow, ooooooow, aaooooo aaooooo;
Ooooooooooooooooh
Aooooo aaooooooo.