Sitaki Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
SITAKI Lyrics
VERSE 1:
Nimempa moyo!
Nimempa roho!
Nimempa muda iwe!
Akitaka anipende!
Akitaka anicheat!
Na akiweza aniuwe!
Moja, napendwa na nadekezwa!
Mbili, anawivu mpaka raha!
Oya tatu, jana tuu nimemfumania nimemsameehe!
Na akirudia nampa kinga ajilinde eeeh!
CHORUS:
Aku sitaki!
Kumwacha mimi sitaki
Wameunda kamati!
Kumwacha aku sitaki
Aku sitaki!
Kumwacha mimi sitaki
Wameunda kamati!
Kumwacha aku sitaki
BRIDGE:
Sio shida zangu!
Naruhusu mishikaaki!
Mkimtaka!
Mumtongoze nimeafiki!
Sio shida zangu!
Naruhusu mishikaaki!
Mkimtaka!
Mumtongoze nimeafiki!
CHORUS:
Aku sitaki!
Kumwacha mimi sitaki
Wameunda kamati!
Kumwacha aku sitaki
Aku sitaki!
Kumwacha mimi sitaki
Wameunda kamati!
Kumwacha aku sitaki!
Oya weee!
VERSE 2:
Mi sitaki!
Sitaki bwaana!
Sitaki bwaana!
Nehi, siambiliki sisikii
Eti atanichezea chezea!
Wee ulisikia waapi!
Oya wee bawaba mapenzi!
Aaah ikilegea legea!
Yee anagongea nati!
BRIDGE:
Sio shida zangu!
Naruhusu mishikaaki!
Mkimtaka!
Mumtongoze nimeafiki!
Sio shida zangu!
Naruhusu mishikaaki!
Mkimtaka!
Mumtongoze nimeafiki!
CHORUS:
Aku sitaki!
Kumwacha mimi sitaki
Wameunda kamati!
Kumwacha aku sitaki
Aku sitaki!
Kumwacha mimi sitaki
Wameunda kamati!
Kumwacha aku sitaki
Nimempa moyo!
Nimempa roho!
Nimempa muda iwe!
Akitaka anipende!
Akitaka anicheat!
Na akiweza aniuwe!
Nimempa moyo!
Nimempa roho!
Nimempa muda iwe!
Akitaka anipende!
Akitaka anicheat!
Na akiweza aniuwe!
VIONJO
Daah takicha nkakicha nkakichaa!
Aaah tankinka kinka kinsaaa!
Mmmmh tantikita pukusa nkisaa
Aaah takiso kisa kisa
Waadyu wadyudyuu!
Wadyuu wadyudyu!
Waadyu wadyuduu!
Wadyuu wadyudyu!
Tantadie daadidaa!
Aaaah dadidaaa!
Tantadie daadiidaaa!
Aaah dadidaaa!
Nimempa moyo!
Nimempa roho!
Nimempa muda iwe!
Akitaka anipende!
Akitaka anicheat!
Na akiweza aniuwe!
THE END
@2023 chobis_twins All rights reserved.