Nimeloa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nimeloa - Chobis Twins
...
kata nimesusiwa
kisima cha penzi najichotea raha
nalia naugulia
ingia toka tukilishana nyama aaah eeeh
baby inanichoma ooh inanitekenya mmh iiih usije ukatoa hii muvi imenikolea
nachelewa kuumwaga mcheleee kuumwaga Mchele
jogoo lanifukuza tetere fukuza tetere
yaani ananipa raha ,tamu lake penzi mpaka nahisi balaa mmh aaah inapotea njaa nikimuona ona tu napigwa na butwaa
nimeloa ...nimeloa..nimeloa...nimeloa,
nimeloa .... nimeloa nimeloana ,nimeloa
kwa penzi lako nimeloana
nimeloa ,nimeloa nimeloana
nimeloa...
kwa penzi lako nimeloana
alinichapa Gizani eeh utamu haupimwi Mizani
likipanda Ruhani eeeh mtusamehe majiranii maana Gwiji gwiji gwiji ye anani gigi gigi gigi yaani juki juki juki inasafisha ndichi ndichi ndichi
chobis
ngoma inogile analichezesha vanga ...vanga
mganga tawiree huniridhisha na nyanga...na nyanga
yaani nasikia raha ,tamu lake penzi mpaka nahisi balaa mmh aaah inapotea njaa nikimuona ona tu nashikwa na butwaa
nimeloa ...nimeloa..nimeloa...nimeloa,
nimeloa .... nimeloa nimeloana ,nimeloa
kwa penzi lako nimeloana
nimeloa ,nimeloa nimeloana
nimeloa...
kwa penzi lako nimeloana
by fatma pochy