Mwacheni Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
*MWACHENI*
*VERSE 1*
Licha ya kuhadithiwa
Mwenyewe naona
Japo napinga
Nachokiona
Zinadhihakiwa
Hisia naona
Cha mte makuni
Ndo nakuona
Anarudi nao mpaka nyumbani
Analala nao chumbani
Na wanaona majirani
Si angefichaa aaaah
Ananitoa thamani
Nimekosa nini jamani
Ananiadhiri hadharani
Mapicha pichaaaaa
*BRIDGE*
basi mwacheni afanye mwenyewe anachoona sawa,
Mim si ruba nang'ang'ana kwake ananiona chawa
Kweli nampenda ila anachofanya wala sio sawaa
Kinachoniumiza nachomkataza hawezi kuacha
*CHORUS*
Ok mwacheni anicheat tuu
Mwacheni anicheat tuu
Mwacheni anicheat tuuu
Mwacheni anicheat tuu!
VERSE 2
Moyo moyo moyo moyoo
Moyo wanieleleza
Sababu ya penzi lako
Mimi silali nakesha
Tulizana moyo wangu
Tulizana roho yangu
Hili ndilo fungu langu
Nipambane na hali yangu
Naonekana mjinga yanalizaaa
Yanagharimu mapenzi yanaumizaa
Kuna vyengine jaman vinatesaa aah
Najikaza kisabuni ananitosaa
BRIDGE*
basi mwacheni afanye mwenyewe anachoona sawa,
Mim si ruba nang'ang'ana kwake ananiona chawa
Kweli nampenda ila anavyofanya wala sio sawaa
Kinachoniumiza nachomkataza hawezi kuacha
*CHORUS*
Ok mwacheni anicheat tuu
Mwacheni anicheat tuu
Mwacheni anicheat tuuu
Mwacheni anicheat tuu!