Vampire Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
VAMPIRE SONG LYRIC
Intro:
Oooooooooooh;
Ooooh, ooh. Ooooooh;
Mmmmmmh, mmmh, mmmmmh;
Baby yoo, baby yoo, yoyo, yoyo;
Verse 1
Just like a vampire aah;
upoteza control oooh;
Anapoona damu, damu, dam dam dam dam daam;
Ndivyo navyo lose mine;
Kila napokuona aaah;
Nashikwa na hamu hamu, ham ham ham ham haam;
Tulipe mifano ya kudumu hili penzi iiih iiiiih;
Tuje kua mfano kwa watu waje watuenzi iiiiih;
Yani tuivunje record ya Romeo na Juliet iiiih;
Ni majina yetu tu on trend enzi na enzi iiih;
Bridge
Nilijiulizaga nililiaga nini;
Nilipozaliwa pale hospitalini iih;
Leo nimepata majibu baby ni kwa nini;
Nilikuliliaga wewe tutaonana lini;
Chorus
Haa, ha ha ha ha haaa, Nacheka;
Ram, nyam nyam nyam nyam nyam, Nadeka;
Raaaaah, ra ra ra ra raaa, Naringa;
Ham, Dah dah dah dah daah, Napendwa;
Verse 2
Baby ngoja, hapa duniani? Au tupo peponi?
Hebu ngoja, wewe binaadam? Ama nimependa jini?
Aaaaah, Unanifanya fanyaje?
Utanifanya nichizi;
Unanipenda pendaje?
Mbona unakua hivi;
Eti unanifanyafanyaje wewe?
Utanifanya nichizi mimi
Unanipenda pendaje?
Mbona ninakua hivi;
Bridge
Nilijiulizaga nililiaga nini;
Nilipozaliwa pale hospitalini;
Leo nimepata majibu baby ni kwa nini;
Nilikuliliaga wewe tutaonana lini;
Chorus
Haa, ha ha ha ha haaa, Nacheka;
Ram, nyam nyam nyam nyam nyam, Nadeka;
Raaaaah, ra ra ra ra raaa, Naringa;
Ham, Dah dah dah dah daah, Napendwa;
Outro:
Just like a vampire aah;
upoteza control oooh;
Anapoona damu, damu, dam dam dam dam daam.
Chobis Twins All copyrights reserved 2024.