Kinyuli Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
KINYURI Song Lyrics
Intro:
Hayaa, mapenzi matamu;
Kauchachu ka ndimu kanachachua utamu;
Mwanzo, sikua na hamu;
Hivi nilirogwa ama ulikua wazimu!
VERSE 1:
Yake safari mzigo unafika salama;
Oooooooh salama;
Kachumbari pilipili na vijinyama;
Oooooooh vinyama;
Ooooh, tahadhari tutakuja kurogana;
Tena mkae mbali;
Tutatafunana nyama;
Baby wanguuuuu!
BRIDGE:
Anapenda kutembea bila viatu;
Bilaaaaaaaaa;
Katika shamba zuri la moyo wangu;
CHORUS:
Kinyuri nyurika, hapa nishafika;
Porojo zenu, nawaona mnabweka;
Kinyuri nyurika aaah, hapa nishafika;
Porojo zenu nawaona mnabweka;
VERSE 2:
Kabhi khushi, kabhie gham;
Haya yana utaalamu;
Amekua kaa binamu;
Kimyamanyama cha hamu;
Anapenda kama vile hapendi tena;
Anatwanga kama vile hatwangi tena;
Analamba kama kesho halambishwi tena;
Anaufundi wote baby ameshindikana;
Baby waangu;
BRIDGE:
Anapenda kutembea bila viatu;
Bilaaaaaaaaa;
Katika shamba zuri la moyo wangu;
CHORUS:
Kinyuri nyurika, hapa nishafika;
Porojo zenu, nawaona mnabweka;
Kinyuri nyurika aaah, hapa nishafika;
Porojo zenu nawaona mnabweka
@2024 chobis_twins All rights reserved.