Nishajipata Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
NISHAJIPATA Lyrics
INTRO:
Tumelewa bado?
Badoooooo!
Tutalewa lini?
Keshooooo!
Tumelewa bado?
Badoooooo!
Tutalewa lini?
Komaaa;
VERSE 1:
Bata na wewe nakuacha wewe;
Niache kuruka viwanja kisa kunguni wewe!
Bata na wewe nakuacha wewe;
Niache kuruka viwanja kisa kunguni wewe!
Niache nilewe;
Niache niimbe;
Niache nicheze;
Ndo yangu starehe;
Niache nilewe;
Niache niimbe;
Niache nicheze;
Ndo yangu starehe;
BRIDGE:
Maaaamaaaaa!
Ngengengengengengee!
Nge nge nge;
Ngengengengenge;
Maaaamaaaaa!
Ngengengengengengee!
Nge nge nge;
Ngengengengenge;
CHORUS:
Tumelewa bado?
Badoooooo!
Tutalewa lini?
Keshooooo!
Tumelewa bado?
Badoooooo!
Tutalewa lini?
Komaaa;
Na uache maswali;
Unatuuliza nini?
We ongeza kilevi;
Si hatuna vichwa laini;
VERSE 2:
Niacheni mweh;
Nile bata wee;
Maisha mafupi wewewee;
Niacheni weee;
Nile bata wee;
Maisha mafupi wewewee;
Nishajipata weee;
Wewe nishajipata weee;
Weweee;
Nishajipata weee;
Wewe nishajipata weee;
Weweee;
BRIDGE:
Maaaamaaaaa!
Ngengengengengengee!
Nge nge nge;
Ngengengengenge;
Maaaamaaaaa!
Ngengengengengengee!
Nge nge nge;
Ngengengengenge;
Maaaamaaaa!
Yaaalaaaaa!
Toooobaaaa!
Nafwa mie!
Maaaamaaaa!
Yaaalaaaaa!
Aaah, Toooobaaaa!
Aaiii,Nafwa mie!
CHORUS:
Tumelewa bado?
Badoooooo!
Tutalewa lini?
Keshooooo!
Tumelewa bado?
Badoooooo!
Tutalewa lini?
Komaaa;
Na uache maswali;
Unatuuliza nini?
We ongeza kilevi;
Si hatuna vichwa laini;
OUTRO:
Umeme ukikata;
Sio shida zetu;
Tunapiga kwa mdomo;
Hili beat letu;
Yaanii umeme ukikataaa;
Sio shida zetu;
Tunapiga kwa mdomo;
Hili beat letu;
Yaaaniii MMMMMH AAAAKH;
KIKI, KAKAKA, AKI AKI AKI, KAKA KIKI KAKAKA;
Yaaaniii MMMMMH AAAAKH;
KIKI, KAKAKA, AKI AKI AKI, KAKA KIKI KAKAKA;
Maaaamaaaa!
Yaaalaaaaa!
Toooobaaaa!
Nafwa mie!
Maaaamaaaa!
Yaaalaaaaa!
Aaah, Toooobaaaa!
Aaiii,Nafwa mie!
@2023 chobis_twins All rights reserved.