
Kanairo Dating Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kanairo Dating - MEJJA
...
Dating "eeeeeeeeeh"
kanairo"weweee"
blanda"eeeh" *2
mtoto wa Khadija
nilienda date wacha 2 weeeeh
ka manzi sycal fytu wee
kadem kalikua kana sumbua nkajua haka ka dem sku moja kataniua
nkapata mwingine mali Safi lakini alikua na baby daddy
mtoto wake akaanza kuniita dadii baby dadii tulishikana mashati
nkapata mwingine ana mahaga akakuja kejani kuchapana uyo dem alikua anashtua 2 ki make love alikua anabonda sura "eeeh"
nme tafta kila chuom nme tafta kila Lima
natafta mdenge "we we"
nmetafta kila chuom nme tafta kila Lima wee natafta mdenge kanairo dating blanda
nilienda date risky "wee" Dem alikua ana lewa whiskey "eeeh"
kidogo akanza kuniita baby baby? umenijua 2 hours
uyu na yy ataki vako zangu anataka ni chore ma morio wangu anataka ni chore ungwelo yangu ni aende heri nbaki pekee yangu
uyu na yy akiskia sauti ya madem ni ashinde akisema sema I love you SEMA I love you naskia madem Apo sema I love you
nmetafta kila chuom nme tafta kila Lima natafta mdenge "wee wee"
nmetafta kila chuom nme tafta kila Lima natafta mdenge kanairo dating blanda
Mara ya mwisho mih kuenda date Dem alinishow I have a lot of Guy friends kidogo ma hug ma hug akiona chali ma hug haiwezi mih nataka peng ka mm anapenda reggae ka mm anapenda genge ka mm simple living kah mm
mih nataka mdenge ata ni ride kah senke
ka unafikiria n ww ni dm iG mejja Genge
nmetafta kila chuom nme tafta kila Lima natafta mdenge kanairo dating blanda....