Usiniharibie Mood Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Usiniharibie Mood - MEJJA
...
oh please usinearibie mood
Leo naskia tu fiti Leo sitaki umtiti
ooh pl3ase usiniaribie mood
ile umeskia kunihusu usiniambie ju
pia haikuhusu
ae ae I just got paid i just got laid
nimereconcyl na babe I'm happy
jana kalikuwa kamenuka
vitu zake alikuwa amepack
manze nilikuwa nimeshtuka
lakini Leo baby amerelax
amenisamehe juu ya jana klande
alipiga kama tumelala
mejja Leo tunaenda ulevi
leo sitaki kurisk Leo nacheza chini juu
ooh please usiniaribie mood
Leo naskia tu fiti Leo sitaki umtiti
ooh please usiniaribie mood ile umeskia kunihusu usiniambie ju pia haikuhusu
ae ae umeingia WhatsApp
kuna Nini WhatsApp
we ingia WhatsApp
wee usitume message ya ufala
Leo sitaki kuwa na mood mbaya
Leo naskia tu raha message ya ufala itashukishia sana
kwanza Leo vile kumenice mbaya usiniaribie mood
venye nilipeleka mapaper wamepiga simu wamesema wanahire so
ooh please usiniaribie mood
Leo naskia tu fiti Leo sitaki umtiti
ooh please usiniaribie mood
ile umeskia kunihusu usiniambie ju pia haikuhusu