PUNGUZA EGO Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
PUNGUZA EGO - Mejja
...
Nilikua na beshte alikua anaitwa ego..nilikua napenda sana form za ego.. nimepoteza vitu mob juu ya ego.. Ako ka ego uh punguza ego eee.go nilikua na Dem mampenda sana aka kadem nilijua tutaona nilishtuka vile tuliachana juu ya ego ... tukikosana singekubali kua wa kwanza kupiga simu nikiskia kupiga karoho kananiambia 'usipige' uuh sa Niko single uh juu ya ego ..nilingoja anpigie alichoka akapigia Chali mwingine imagine !?
ningeweka ego chini nipege simu ningekua na bibi imagine nilichagua ego nayo life Ika ni humble aaauuh
nilikua nabeshte anaitwa ego
nilikua napenda sana form za ego..(ego)nimepoteza vitu mob juu ya ego .Ako ka ego uh punguza ego eeego uh
arich man joke is always funny so funny tuna Cheka na una bore we just want your money tuna papasa ego ndo utoboke mfuko tukule pesa yako tulimaliza tukuwache peke Yako uh ni juzi tu ulienda Dubai ukakuja Kenya unajidai is it safe? uko umo ni safe? mmmmh siulizaliwa uko? punguza tumaringo ... acha ka ego msupa kabla life iku humble uuh .
.......