Siku Hizi Ni Ku Bad Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Siku Hizi Ni Ku Bad - MEJJA
...
okwonko
sikuizi binadamu nawagwaya
ha wawili walikuwa wanapendana Kushikana wakichinjiana nime ona kwa news Eeh walichinjana
manze dunia inaenda wapi mandugu wana uana juya Mali sikuizi pesa thicker than blood bif ndani ya family ni bomboclat
stori ya mabeshte weka kando Kwanza mabeshte e one ka ritho mabeshte hiyo ndio kikulacho utakuta beshte yako ndio alikula Bibi yako
ndiomana mi hukaa peke Yangu kwa kona na pombe Yangu Tu stori ya mbogi aah dunia balaa
Eeh sikuizi ni kubad bad bad bad bad manze so sad watu wengine ni mambwakni x2
bishop anaishi Karen wafuwasi wake kayole anataka sadaka mchange wafuwasi wake Juu ya mawe
sikuizi sielewi hosi mbona ulipe parking hosi manze hawajali juya wagonjwa hosi zingine zime oza ...
juzi manzi Yangu aliniambia babe naenda trip naivasha akapiga picha na Subaru hapo nikajua nimerushwa manzi Yangu
ndio mana mi hukaa peke Yangu Tu kwa kona na pombe Yangu Tu stori ya mbogi aah dunia balaa
sikuizi ni kubad bad bad bad manze so sad watu wengine ni mambwakni x2
Chrome :zimelipuka lipuka zime riet !!