PUNGUZA EGO
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
PUNGUZA EGO - Mejja
...
Nilikua na beshte alikua anaitwa ego..nilikua napenda sana form za ego.. nimepoteza vitu mob juu ya ego.. Ako ka ego uh punguza ego eee.go nilikua na Dem mampenda sana aka kadem nilijua tutaona nilishtuka vile tuliachana juu ya ego ... tukikosana singekubali kua wa kwanza kupiga simu nikiskia kupiga karoho kananiambia 'usipige' uuh sa Niko single uh juu ya ego ..nilingoja anpigie alichoka akapigia Chali mwingine imagine !?
ningeweka ego chini nipege simu ningekua na bibi imagine nilichagua ego nayo life Ika ni humble aaauuh
nilikua nabeshte anaitwa ego
nilikua napenda sana form za ego..(ego)nimepoteza vitu mob juu ya ego .Ako ka ego uh punguza ego eeego uh
arich man joke is always funny so funny tuna Cheka na una bore we just want your money tuna papasa ego ndo utoboke mfuko tukule pesa yako tulimaliza tukuwache peke Yako uh ni juzi tu ulienda Dubai ukakuja Kenya unajidai is it safe? uko umo ni safe? mmmmh siulizaliwa uko? punguza tumaringo ... acha ka ego msupa kabla life iku humble uuh .
.......
Similar Songs
More from Mejja
Listen to Mejja PUNGUZA EGO MP3 song. PUNGUZA EGO song from album PUNGUZA EGO is released in 2023. The duration of song is 00:03:01. The song is sung by Mejja.
Related Tags: PUNGUZA EGO, PUNGUZA EGO song, PUNGUZA EGO MP3 song, PUNGUZA EGO MP3, download PUNGUZA EGO song, PUNGUZA EGO song, PUNGUZA EGO PUNGUZA EGO song, PUNGUZA EGO song by Mejja, PUNGUZA EGO song download, download PUNGUZA EGO MP3 song
Comments (23)
New Comments(23)
IX Essetra Official
Martinfowdn
mejja is my big artist i have loved ever
Frostly kade
mejja uko ft sana
top rank mejja genge ......keep the 254 industry on fire.....[0x2728][0x2728][0x1f63f][0x1f63f][0x1f621][0x1f621]
Frostly kade
waaah am proud to be a kenyan ju si wakenya tuko on fire
Peter Karaton Mungai
top rank mejja genge ......keep the 254 industry on fire.....[0x2728][0x2728][0x1f63f][0x1f63f][0x1f621][0x1f621]
meamoryan
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Arison salim katana
top
Salimah Ali
l❤️
Swalesh 001
Mejja my brother i reapect you in this sectorkeep up the good music.
Emmap6oui
favourite ❤️
kevinww
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Smoke254faqi3
Nilikuwa beshte anaitwa Ego[0x1f63f]
also an artist click my profile to access my music [0x1f628][0x1f628][0x1f619][0x1f619][0x1f621][0x1f621][0x1f619][0x1f619][0x1f619][0x1f619]