Decide Lyrics
- Genre:Genge
- Year of Release:2023
Lyrics
Decide - Mejja
...
Producer Khrome, okwonko
We niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
We niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
(VERSE 1)
Unathani bila wee hatuezi ishi, newsflash tutaishi fiti
Tutakusahau ka kamisi na memory tutoe kwa akili
Unabehave nika wee hatuna option pia sisi hio ni caution
Ka si huruma singekua na wewe usipochange itabidi nitembeze
Last chance eti "last chance" last chance tuliacha last year
Iyo ndo ufala mi staki kuskia, usipochange kanyaga
(HOOK)
We niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
We niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
We decide ka utachange sina iyo time sina iyo ithaa
We niambie ebu decide sina iyo time
(VERSE 2)
Unanithreat unanithreat utaniacha si uniache
Unatuthreat utaacha kazi si uache unathani tunajali
Ujinga nikudhani bila wewe hatutasonga tunasonga
Ujinga nikudhani bila wewe hatutaomoka tunaomoka
We ni dumb didididi so dumb you so dumb
Hii dunia sio yako pekee you so dumb
Utastuka ka unangoja nikufwate usipochange kila mtu njia yake
(HOOK)
We niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
We niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
We decide ka utachange sina iyo time sina iyo ithaa
We niambie ebu decide sina iyo time
Hook