Ulimi Yangu ft. DJ Nephas Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2021
Lyrics
Ulimi Yangu ft. DJ Nephas - Mejja
...
Ni ile siku kila kitu huenda poa ah
Rent umelipa, stima umelipa
Dem hana nuks ametulia
Ako kwa moods anakupikia
Food ikiiva ashapakua
Ashaniuliza inataste aje?
Nishamwambia si ungeeka spice kiasi
Akijam namdanganya iko poa
Anadai twende out
Namwambia badilisha basi twende
Akivaa “Nakaaje kabla nitoke?”
Okey ume-colour crash
Hio top na hio mini kwangu hazimatch
Anajam anajishika kiuno
Ananitolea mi huwa sikuget
Kila kitu mi hufanya hu appreciate
Ooops ulimi yangu kulikuwa na amani
Sasa nimeleta taabu eeh
Ulimi yangu, huniletea noma tu
Nakwambia eeh, ulimi yangu
Huniletea nuks tu
Nakwambia ulimi yangu huniletea noma
Ni sato jioni around 3
Nilikuwa kwa stage nategea ma3
Dem alinipita akasimama kando yangu
Baadae kidogo niko na wasee watatu
Aaah wakasimama kando yake
Hakuwa anaskia wakiiba kwa kibeti yake
Nikawika “Wezi Wezi”
Kidogo wakanigeukia mimi
Wakanishika mashati wakaniangusha chini
Iko iko wakanipiga mangumi makofi
Wakanikanyangia chini
Mmoja akanikondolea macho
Kijana siku ingine ufikirie maneno yako”
Watu walikuwa wanaangalia
Hakuna kitu wanafanya wanacheki naumia
Mpaka ule dem nilikuwa nasaidia
Nikawish ningenymazisha ulimi
Kusaidia, tena sio mimi
Ulimi yangu, huniletea noma tu
Nakwambia eeh, ulimi yangu
Huniletea nuks tu
Nakwambia ulimi yangu huniletea noma
Kwa kampuni watu walikuwa wananyanyaswa
Nikaskia kuna mgomo ilikuwa inapangwa
Na vile mi hukuwa msee wa mdomo nikaambiwa
“Mejja we ndo utakuwa spokesman wetu”
Nikawaambia na nikipoteza kazi yangu?
Wakaniambia nitakuwa nyuma yako
Kidete mpaka mwisho
Mgomo kuanza nilikuwa mstari wa mbele
Na maplacards na makelele
Ungeniona nilikuwa kichwa ngumu
Nikiwika “Tunataka haki yetu”
Baadae wadosi walitimiza
Ile kitu wafanyikazi walikuwa wanataka
Siku ya pili kwenda kazi mi kufika
Nikachapiwa Mejja ushafutwa
Nikawaambia si mnafaa kuwa nyuma yangu