![Niringe ft. Fynah Bee](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/18/9ae7c37c794c432c8396ad11ae92261f_464_464.jpg)
Niringe ft. Fynah Bee Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Niringe ft. Fynah Bee - FD Boy
...
*Niringe by Fd boy ft Fynah bee lyrics*
Verse1
Ninapenda unavyonijali nikumbatie boy usiniache..
Vile wanipa mapenzi Niko radhi chuki mi nizipate..
Na kama ni love, kila siku ntakupa more..
Hata wengi wakija, mimi kwangu ntawapa no..
Na kama ni love, kila siku ntakupa more..
Hata wengi wakija, mimi kwangu ntawapa no oooh..
Hata usiogope my boo, ninavyokupenda itawapa tabu..
Basi nifate kwangu, mapenzi mahaba yote yapo kwangu..
Chorus
Basi nipende niringe, niringe..
Wenye kusema waseme, waseme..
Basi nipende niringe, niringe..
Wenye kusema waseme, waseme..
Verse2
Nipitie kila time ukikam, na mapenzi unishow usijam..
Wenye wivu waseme wakonde, tusiwaache wapambe washinde..
Oh baby, kuja unibusu wajinga waumie..
Wajue tangu unipende sijaona mwengine..
It's your love, inanifanya kiukweli mi nipende..
Love me love, wenye kusema wanune na washangae .
Chorus
Basi nipende niringe, niringe..
Wenye kusema waseme, waseme..
Basi nipende niringe, niringe..
Wenye kusema waseme, waseme..
Verse3
Ushaniteka mwenzako najua, mpaka nakesha gizani..
Nitachomwa niungue na jua, kwako nikichimba madini..
Mbona wengine kuugua, penzi letu la siri hawaelewi..
Hata ikuje na mvua, nisukumwe kwako sitelezi..
Akili yangu sawa kuachana nawe ni ubishoo oh..
Nitamaliza dawa na tiba imefichwa kwako ooh..
Acha wangoje tu, nikwache ndio wanajua..
Nishike nkushike boo, usiniache kabisa ntauguaa..
nifate kwangu, mapenzi mahaba yote yapo kwangu..
Chorus
Basi nipende niringe, niringe..
Wenye kusema waseme, waseme..
Basi nipende niringe, niringe..
Wenye kusema waseme, waseme..