
Nalia Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Nalia - FD Boy
...
*Nalia by Fd boy lyrics*
Verse1
Mi nalizwa na mapenzi kucha kutwa, sio rahisi navumilia..
Ule uchungu wa mapenzi ulonitiaga aah..
Mbona mwenzio ukanipa tabu? Mimi kukupenda ikawa sababu..
Nipitie mganga na babu, Ili nikunase uwache dharau..
Akili yangu ulihesabu, ukaona hata Bora uniache wangu..
Kila siku nina kalamu, nihadithie yangu maumivu..
Mapenzi ni maji nishayanawa aah aaahaa..
Na kama ni nguo nishaivua aaah aaaah...
Chorus
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Verse2
Nilotafuta zamani nishapata..
Nilimwacha anitese kisa urembo oooh..
Na wazuri ni wengi ninaona, kinafanya najutia..
Mateso ya mapenzi niliona, eti mwengine sitompata..
Niliogopa kumwagwa...
Niliogopa kumwagwa aah..
Wa kunipenda nikose eeh ah..
Oh mapenzi ni kichaa, yalinifanya nichokeshe kichwa..
Yana utamu wa guitar, kuyacheza yanahitaji funzo..
Oh mapenzi ni kichaa, yalinifanya nichokeshe kichwa..
Yana utamu wa guitar, kuyacheza yanahitaji funzo..
Niliogopa kumwagwa..
Niliogopa kutendwa..
Niliogopa kuachwa..
Ila yote bado akaniacha tu..
Chorus
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..
Minalia na mapenzi, aaaaaahaaa..