Inuka Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Inuka - FD Boy
...
Kwenye safari ya mapenzi, kwako nimefika kituo.. Mchezaji mwenzake jezi, kufuli yake funguo.. Wewe tofali mi ndio mjenzi, elimu kwako nimefika chuo.. Nisije kukanyaga uteleze, ukaja nivua nguo.. Mwenzako ukiniacha moyo, utaparalyze.. Usinipe mfupa mi kiboyo, utanisurprise .. Mwenzako ukinibwaga moyo, utaparalyze.. Usinipe mfupa mi kiboyo, Nisha fall in love .. Upendo haupimwi Kwa mizani, Bali vitendo mama ah.. Chunga Maneno ya majirani, Wana viskendo sana.. Chorus Inuka inuka basi wakwone.. Inuka inuka wangu wakwone.. Inuka inuka basi wakwone.. Inuka inuka wangu wakwone.. Verse 2 Na vile uko sexy shape kama vera sidika, rangi kama ya Huddah.. Kababy face nakwona kama malaika, mwenzako unanivuruga.. Mh, onyesha unavyosakata body.. Waitoa mombasa mpaka Nairobi.. Ukinipitisha rodi Kwa rodi.. Onyesha unavyosakata body.. Waitoa mombasa mpaka Nairobi.. Ukinipitisha rodi Kwa rodi.. Upendo haupimwi Kwa mizani, Bali vitendo mama ah.. Chunga Maneno ya majirani, Wana viskendo sana.. Chorus Inuka inuka basi wakwone.. Inuka inuka wangu wakwone.. Inuka inuka basi wakwone.. Inuka inuka wangu wakwone.. Mwenzako ukiniacha moyo, utaparalyze.. Usinipe mfupa mi kibogoyo, utanisurprise..