Mshedede Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Mshedede - FD Boy
...
*Mshedede by Fd boy lyrics*
Verse 1
Nipe lovi kwako sina pressure, tuzuge wote mummy Iko pesa..
I love u till I die nishasema, yaani nikikwona nijifeel tu kukesha (Kesha)..
Wacha nikurank number one gal..
Life tutakula ndani ya Bugatti..
Piga mishe nami sikuwachi oh nanana..
I wanna take you down low (take you down low)..
Mida ni ya wanga na sina kazogo..
Nikishadunga kangol (kangol)..
Nakuwaga mhenga nakupa misemo..
I wanna take you down low ooh (take you down low)..
Mida ni ya wanga na sina kazogo (zogo)
Nikishadunga kangol (kangol)..
Nakuwaga mhenga nakupa misemo.. uhmmm..
Chorus
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, (oh my Gosh)..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, uhmmm..
Verse2
Chura linarukaruka, nami dede nishasimama..
Nipitishie mpunga, harufu inanimaliza..
Nataka nikishiba nijikung'ute..
Kikoi nijifunge nijitulize..
Na nikitaka tena nijiongezee..
Mapenzi nipe tele tu nitosheke..
Oh my, wanifanya teja..
Natamani nikupige kangeta..
Ona daily ninakesha..
Ninavyokuhemea ndo napenda..
Oh my, wanifanya teja..
Natamani nikupige kangeta..
Ona daily ninakesha..
Ninavyokuhemea ndo napenda..
(Rrrrrrrrrraaahhhhh)..
Chorus
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, (oh my Gosh)..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, nikudu nikudunde..
Mshedede, uhmmm..
Outro verse
Eeh hii ni tam hii ni tam, ukinipa tatu nitataka tano..
Basi come basi come, nipitie kando tukutane hapa..
Noma nitazua na bakora, nilenge shaba pima tu kinoma..
Kikingi kimeshikwa na mizizi, ndindindi haking'oki kwa mchanga (hahaha)..
Mshedede, nikudunde mshedede uuh ah..
Mshedede nikudunde mshedede dede (madam turn)..
Mshedede mmmh, nikudunde mshedede eh (madam turn)..
Mshedede, nikudunde mshedede dede (madam turn)..
Mshedede...
Mshedede(madam turn)..
Mshedede..
Nikudunde mshedede(madam turn)..