![Kimadani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/07/2de268a3ba7647ffac2376bd31b6cd31_464_464.jpg)
Kimadani Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2021
Lyrics
Kimadani - FD Boy
...
*Kidamani by Fd boy lyrics*
Intro..
Ni boy wa malavy.. yeah.. mwenyeji wa mapenzi..
Chorus
Mi napenda ukinifwata nyuma..
Mi napenda ukinifwata nyuma..
Mi napenda ukinifwata nyuma..
Wewe siunapenda nkikufwata nyuma..
Verse1
Ni kwani nasema nawe, wee mwenzangu unaringa..
Leo fwata nkusikize, sijafunzwa kuringa..
Sauti tamu nakuimbia aah..
Eeh zaidi ya nyuki utaioenda kida aah..
Mh, basi songa nikwambie..
Utamu wa mapenzi unigawie.. Sitofanya unikimbie..
Siri ya kupenda uniibie..
Basi songa nikwambie..
Utamu wa mapenzi unigawie.. Sitofanya unikimbie..
Siri ya kupenda uniibie..
Chorus
Mi napenda ukinifwata nyuma..
Mi napenda ukinifwata nyuma..
Mi napenda ukinifwata nyuma..
Wewe siunapenda nkikufwata nyuma..
Ma time waniingiza kichaa, nikuite wee unakataa..
Uniache kwa giza kisa, unajua we ndo yangu taa..
Niache leo nikuringie, nijione Nina maana..
Sina pressure wee ndo napenda, kidamani nakhuyanza..
Basi songa nikwambie..
Utamu wa mapenzi unigawie.. Sitofanya unikimbie..
Siri ya kupenda uniibie..
Basi songa nikwambie..
Utamu wa mapenzi unigawie.. Sitofanya unikimbie..
Siri ya kupenda uniibie..
Chorus
Ninapenda ukinifwata nyuma..
Ninapenda ukinifwata nyuma..
Ninapenda ukinifwata nyuma..
Wewe siunapenda nkikufwata nyuma..
Yoh ni FD boy wa malavy, mwenyeji wa mapenzi (ushaiskia hiyo)..
Yoh mash, it's a BMG music..yes sir..
Napenda, napenda ukinifwata..