Subiria Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2021
Lyrics
Subiria - FD Boy
...
*Subiria by Fd boy*
Intro
Boy wa malavy (boy wa malavy)..
Lalala laala aaah..
Verse1
Ona Siri za nyumbani, naziweka zote hadharani..
Yote kisa ni visenti, vimenichanganya hata sioni..
Nilipokwacha sikudhani, nitakuja iwe balaa..
Mara kesi mitaani, mara mama kulalama..
Sijasahau ya kiapo, wala sijakuwa kichaa..
Niliamua kusakanya, hata siku usilale njaa..
Ila bado sijajaliwa, nyota yangu inazama..
Huku bado nahangaika, mola tu ndo ataniokoa..
Mi Bora kifo, maana najiona kwako sifai .
Tena mamangu aliko, anajuaga naishi Kwa Raha..
Ah mi Bora kifo, maana najiona kwako sifai..
Oh mamangu aliko, anajuaga naishi Kwa Raha aaah..
Chorus
Subiria mi ndio wako..
Subiria tushakula kiapo..
Subiria haifiki hata kesho..
Subiria wee punguza mawazo..
Subiria mi ndio wako..
Subiria tushakula kiapo..
Subiria haifiki hata kesho..
Subiria wee punguza mawazo..
Lalala aaah..
Verse2
Hizi dhiki karaha, zisikufanye uhepe kitaa..
Ugumu wa maisha sio dhambi, usinihukumu wangu mama..
Moyo wangu unahangaika, sababu yako mama..
Nikipiga simu unalia, inanichoma sana..
Subira subira inakuchosha sana (wewe)..
Vumilia vumilia tutakula vya Raha..
Huku mjini nahangaika, sababu yako mama..
Nikipiga simu unalia, inaniumiza sana..
Nasema Bora kifo, maana najiona kwako sifai..
Oh mamangu aliko anajuaga naishi Kwa Raha .
Mi Bora kifo, maana najiona kwako sifai..
Oh mamangu aliko, anajuaga naishi Kwa Raha..
Chorus
Subiria mi ndio wako..
Subiria tushakula kiapo..
Subiria haifiki hata kesho..
Subiria wee punguza mawazo..
Subiria mi ndio wako..
Subiria tushakula kiapo..
Subiria haifiki hata kesho..
Subiria wee punguza mawazo..
Mash.. BMG music.. Fd boy..
Subiria ah mi ndio wako..
Subiria tushakula kiapo..
Subiria ah usiniache mama..
Subiria yeiye usiniache mama..
Ipo siku ntapata nami..
Eeiya nakutafutia .