Tete Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Tete - FD Boy
...
*Tete by Fd boy lyrics*
Verse1
Fanya maringo sio utapetape..
Ukiwa nami mida flani unigande gande..
Punga upepo nkija nkukande kande..
Unipe lova na chumbani nikusagesage..
Kwenye mapenzi sinaga ujanja we ndio bossi..
Unanikochi kochi kupiga matuta kama Messi..
Give your love, wewe kwangu ndiyo basi..
Matamu manovu, ukininyima ni mikosi..
Oh give me your love, wewe kwangu ndiyo basi mama..
Matamu manovu, ukininyima ni mikosi..
Chorus
Tete tete tete tete..
Tete tete tete tetemetete..
Tete tete tete tete..
Tete tete tete tetemetete..
Verse2
Nipetipeti utamu kwako nishatia gumba..
Tena usifosi kwangu laini namwaga makopa..
Kwako nishafunga kesi kidege mtama naudona..
Niite doki doki sindano ya kwangu inaponya..
Kwanza ulivyo freshi freshi, aaah..
Special kama sacramenti, aaah..
Ka cool yaani mint minti, aaah..
Kwa watu sikufichi fichi, aaah..
Kwanza ulivyo freshi freshi..
Special kama sacramenti..
Ka cool yaani mint minti..
Kwa watu sikufichi fichi..
Eeh eeeeh now give me your love, wewe kwangu ndiyo basi..
Matamu manovu, ukininyima ni mikosi..
Oh give me your love, wewe kwangu ndiyo basi mama..
Matamu manovu, ukininyima ni mikosi..
Chorus
Tete tete tete tete..
Tete tete tete tetemetete..
Tete tete tete tete..
Tete tete tete tetemetete..
Bridge
Jifanye kama kigogo unaelewa, aaaje?..
Kama unabembea, aaaye..
Taratibu usije ukaniuwa, aaaje?..
Ona nalegea, aaaye..
Jifanye kama kigogo unaelewa, aaaje?..
Kama unabembea, aaaye..
Taratibu usije ukaniuwa, aaaje?..
Ona nalegea..
Tete tete (teteme mama)..
Tete tete (teteme Tete)..
Tete tete (fanya kizungu basi)..
Tete teteme tete..
Tete tete (teteme mama)..
Tete tete (teteme Tete)..
Tete tete (fanya kizungu basi)..
Tete teteme tete..
A CoinTouch pan production.