I Miss You Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
I Miss You - FD Boy
...
intro..
boy wa malavy
Verse1
Ghafla tu ulipoondoka, nilikomboa hema..
Nikajisifu sina hasara, Bora uhai nahema..

Ila kukicha siongei, natamani hata sura..
Nikwone kidogo sulei, moyo wangu unavimba..
Wako gizani sina amani, Rudi nilale kitandani..
Watoto wanangoja nyumbani, tangu ulipokwenda dukani..
Siwezi kukwacha sababu yake ye, alinihonga na huba..
Macho akanifunga nimwone ye, moyo akashindwa kuufunga..

Chorus
Baby ooooh, I miss you oooh..
I should let you know ooh, I miss you more ooooh..

Verse 2
Acha kizuri na kisifiwe, ulinionjesha vya maana..
Mpaka natamani nizaliwe, tukutane upya mama..
Ila, uliko mama najua ushawahiwa..
Mwenzako, najuta sana na moyo unaniogopa..
Mwambie uliyejitunukia, akulinde sana..
Naamini utaja nirudia, kabisa natutaowana..
Nishajifunza kutunza, wasikudanganyie hela..
Na nishachoka kuugua, wivu kwa nyongo unakaba..