Sawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
swali linakosa jibu, chuo cha mapenzi gani umepitia,
raha unanipa za ajabu, zimenizidi kimo nachuchumiaaa
wa kwanza mola baada ya wazazi unafatia wewe
mtoto mashaallah,.. andaa banda kuku wako mwenyewe
aaah
zenji kuna bahari, ila sipandi boti napewa mgongo.