![Nimekusahau ft. Kayumba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/25/1a9d44f9a6c747c5964fd458ef24d655_464_464.png)
Nimekusahau ft. Kayumba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Nimekusahau ft. Kayumba - Tunda Man
...
nstsmani siku zirudi nyuma nikumbuke nilipokoseaaaa, ulinishawishi vipi mpaka moyo nikakugeaa...nilikupa sawa, nawe ndo ukaupokeaa ulipogundua nakupenda sana ukaanza nipotezea
nilikupa moyo ukautumia ukaugaragaza nikakupa na mwili ukauchezea na ukauchakaza, maana matumaini ni weweee manusura ni uwe chanzo chote ni wewe sa wa kaazi gaani, kaniacha mwenyewee dhambi yako nipewee sinywi pombe nileweee una roho ganii, wee mbwaa wewee
nimekusahau *4 we mbwaa wewee
siku hizi nanenepa tena nalishwa vinono, Tori sio kwa mkonoo mdomo kwa mdomoo mwali kigego msungo rudi kwa wako somooo nimekustahi kuila unanuka mdomoo,
vile navyojutaga kama sikuaga na weweee *2 raha nazopata statas nakuekeaga wewee , maana matumaini ni weweee manusura ni uwe chanzo chote ni wewe sa wa kaazi gaani, kaniacha mwenyewee dhambi yako nipewee sinywi pombe nileweee una roho ganii wee mbwaa wewee
nimekusahau *4 wee mbwa wewee
nimekusahau *4
siku hizi nashinda na misuli, mambo ya kipembaa hayoo ye kanga moko bila kifulii, mambo ya kipembaa hayoo, mambo ya kiini chori chori mambo ya kipembaa hayoo mijini Kitani pa sifuri, mambo ya kipembaa hayoo