Vita Ni Vita ft. Nay Wa Mitego Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Vita Ni Vita ft. Nay Wa Mitego - Tunda Man
...
alianza mwenye kunitumia message morning shem.. nami nikamjibu am fine morning . mara nikoo mwenye gari kwa gereji njoo twende sehem . ke nikamuuliza humwambii bwana wako kwann .. akajibuu yuko busy busy maswali mengii nisiulize.. anatafuta bwana amtulize kama sio me mwengine ...me naombaa nikuulize najuwa mwanangu uko buzy sasa bora me nimtulize au aende kwa mwngine