![Kizaaza ft. Alikiba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/18/1ef6178c7d094d939682d3105cbd7730_464_464.jpeg)
Kizaaza ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kizaaza ft. Alikiba - Tunda Man
...
Yoooy yeebaba
Tundaman
Yap
Bargo siku hizi inathamani
Sijui kupenda mchezo wa kizamani
Unaweza kupata toto usijuwe la ndani
Upate lavida kesho kwa burning
We kula utamu na ukinogewa basi
Nawezako kujakupewa raha ya mpira pasi
Anavingi vya utamu kushinda nanasi
Nausije ukanogea ukipewa nafasi
Anamaufundi kwa godoro
Kwa viuono vya ndombolo
Nakupenda leo na tomorrow
Anamanjonjo
Ayee mama chunga usije zama
Ayee mama chunga usije zama
Yebababa!
Ukishikwa huna ujanja
Wanambinu nyingi kama njia za panya
Ukikosa sebleni watakufata vichochoroni
Na ukipatikana bwana mkubwa huoni
Utapetwa wewe na mchele kitandani
Na ukishalala kama kiporo
Kama kiporo kama kiporo
Kama kiporo kishachacha
pepee ya roho
Kama ipo milipo kizazaa
Kiana maungoo
Angalia kizazaa
Kama kicheche kizazaa
Watakutoa roho kizaaza
Angalia mimi simo kizazaa
Aaah mama chunga usije zamaa
Mamaa chunga yooo
Aayee mama chunga usije zamaa
Mama chungaa yoo usije zamaa
Mimi na wewe umauti
Mimi na wewe umauti
Tunafanana sura ila moyo umauti
Yangu na yako umauti
AYee iko uhadharani
Ayee iko uhadharani