Sura Ya Baba Ako ft. Osam Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2022
Lyrics
Sura Ya Baba Ako ft. Osam - Tunda Man
...
We dada nakuita unakataa
Wenzako bahati kama hii wanaitafuta
Nikikuona kama una njaa
Minywele timtim yani kama kichaa
Unaringa una nini we dada
Kwa jinsi ulivyo unampa tabu mganga
Ndo mana mwenzangu hupati madanga
Mwili umekakamaa utazani kamanda we
Kwanza sura ya baba yako
Shepu ya baba yako
Nakuomba namba unaringa
Unadhani nitakulilia
Ona sura huna shepu huna
Hujafanana na mama
Kwani malaya akikosa danga
Sura yake inakaaga vipi
Kama mnyau vile kama mpaka vile
Mi mwenzako mda mchafu sina mi nikupe jina
Nikae nikuaze wewe kwani akili sina
Mi nasema mda mchafu sina mi nikupe jina
Nikae nikupende wewe kwani akili sina
Kufuga kishandu siwezi bora nifuge mbwa mkali
Kufuga u.t.i siwezi bora nifuge mbwa mkali
Basi twende sura ya baba yako
Shepu ya baba yako
Nakuomba namba unaringa
Unadhani nitakulilia
Ona sura huna shepu huna
Hujafanana na mama
Kwani malaya akikosa danga
Sura yake inakaaga vipi
Kama mnyau vile kama mpaka vile
Basi twende style yake ya mombasa
Mi napenda akikata
We sambalokote chibu kustaafu amedata
Style yake ya mombasa
Mi napenda akikata
We sambalokote sasingu langu amedata
Muone huyu muone (amekasirika)
Muone huyu muone (amekunja ndita)
Muone huyu muone (amekasirika)
Muone huyu muone (amekunja ndita)