![Sema ft. Kontawa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/16/7544ffc471914f4fb4a9a64f7fe9a917_464_464.jpg)
Sema ft. Kontawa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Sema ft. Kontawa - Tunda Man
...
Eh! Nauliza niseme nisiseme (sema)
Niseme nisiseme (sema)
Mwenzenu tundaa (sema)
Tawa eeh kizazi chenu kinamatatzo gani
Au kisa wengi mnamisura kama nyani
Alowambia vipodozi vinatibu nani
Mana mnajichukua utazani wakongoman
Tunda eeh hayo maswali ya kizamani
Ndo mana matunda mnaliwa sana dunian
Tunda mwenzako unajua analiwa na nani
Yashatolewa matunda yote ila sio tundaman
Kwanza unajua wanawake kua ni watu wabad
Mana hadi leo sijui wanachoitaji
Nimepata tetesi toka kwa washkaji
Kua wameona connection ya mke wa mchungaji
Wewe wewe usicheze na mwanamke
Utamwambia nini anapoitaji jambo lake
Tawa hao ndo wanawake
Wanaogopa mende ila wanapenda kifo chake
Oya niseme nisiseme (sema)
Mwenzenu nataka niseme (sema)
Oya niseme nisisema (sema)
Mnaniruhusu niseme (sema)
Sema
Sema
Afu nyi simba mnabebwa kataa kubali
Dogo ukiendelea na izo story ntakutia kabali
Kaka eh mbona unafika mbali
Si mkienda uwanjwani uwa mnabebwa na magari
Hivi pale kondegang kuna nini
Mana kila msanii anapigwa chini
Mpaka angella anatoka nimesikia chinchin
Lebo ya mmakonde mluguru unafata nini
Nyie wasanii wa skuhizi mnazingua kinoma
Mnaimba matusi kila mkitoa ngoma
Hamuelimishi jamnii hvi si hamjatuona
Tutamuelimisha nani kila mtu amesoma
Nyinyi mlikuaga waoga tumeshawasoma
Ndo mana majani aliwapiga kama ngoma
Mh brother mlikua waogopa kinoma
Mnapigwa na majani sasa si mngeyachoma
Aya we humjui majani kwasababu ni mtoto
Usiombe ukiende studio kwake alafu ukosee vocal
Ebwana chege amchukua sheria na mkono wa kushoto
We husiongelee watu wanaovunja nazi kwa ugoko
Oya niseme nisiseme (sema)
Mwenzenu nataka niseme (sema)
Oya niseme nisisema (sema)
Mnaniruhusu niseme (sema)
Sema
Sema
Kama wewe mtafutaji (nyoosha mkono nyoosha)
Wewe mpambanaji (nyoosha mkono nyoosha)
Kama wewe mtafutaji (nyoosha mkono nyoosha)
Wewe mpambanaji (nyoosha mkono nyoosha)