Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mchawi Ndugu ft. Chidi Beenz - Tunda Man
...
.....
na tunda *3 man (mchawi ndugu )
matatizo yapo kubwa bro kaza roho,washakusema sana vibaya naumia roho
unachana sana zaidi ya wale mabishoo,bro wewe ngamia haufanani na jogoo
walishasema mengi kwamba ngoma ntatoa boko nlisha fika stendi nkakuta chuma imesha ng'oka bado nakimbiza huku jasho linantoka tunda kaka yako sijachoka
bro matatizo yako chukua kama changamoto,huwezi kukata mkono akiunyea mtoto me na kassim tumevaa sana nguo zako kipindi cha msoto naumia ulio wasaidia wanaongea kama ma choko*
nishapita huku na kule weka stopa tulisha imba bure show nzima tunafoka tunarudi ngaribani ila soksi zimetoboka tunda me kakaako sijachoka
.........
.......
...
..
.
??? akasema nnauwezo wakukusaidia,akajitambaga kwenye media ??? mara week mwezi sasa mwaka umepita ??? yake imefanyika kama kaka yake sasa mbona hajakuita kamweka top labda akajua ata kufunika
yeeeeeaaahhh aah tunda we ni afya vumbi ko chafya