Niite Mbwa w/ Mchina Mweusi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Niite Mbwa w/ Mchina Mweusi - Shilole
...
......
madam xhixhi bby yeah nipo na mchina mweusi
Niite mbwa x 4
Niko pale,pale nakuxubiry(niite mbwa)
Niko pale,pale nakuxubiry (niite mbwa)
Nipo pa pa pale nakuxubiry(niite mbwa)
Nipo pale nakuxubiry (niite mbwa)
[MCHINA MWEUSI]
Nionyexhe xhemeji,,kexho nisipotoka nae (niite mbwa)
Niwe na mpenzi haongi,,nikidumu nae (niite mbwa)
Kwa ilo komwe lako,,ukipata wa kuolewa nae (niite mbwa)
Pombe zangu akinywa,,leo nisipolala nae (niite mbwa)
Ntaacha pombe ganja,nikiacha umalaya (niite mbwa)
Ntakwenda kila kiwanja,,ila kuja kuwa chawa (niite mbwa)
[SHILOLE]
Niache umbea kixa juzi nilisutwa (niite mbwa)
Nibaki kulea wakati kidimbwi kimenuka (niite mbwa)
Niskie pa pa nisfunge mlango wa duka (niite mbwa)
Nisile bata kisa ww umesusa (niite mbwa)
CHORUS:
(wote)Niko pale,pale nakuxubiry (niite mbwa)
Niko pale,pale nakuxubiry (niite mbwa)
Nipo pa pa,pale nakuxubiry (niite mbwa)
Nipo pale,pale nakuxubiry (niite mbwa)
.........
Niite mbwa
Niite mbwa
Niite mbwa
Wee kula tu madem wa sinza tabata,usipopata U.T.I (niite mbwa)
Na unavyopenda bata,mmh ukikosa chai (niite mbwa)
Unavyogawa kwa sifa,lisipolala walai (niite mbwa)
Kupenda bia za bure,usipotolewa nishai (niite mbwa)
[SHILOLE]
Niache umbea,kisa juzi nilisutwa (niite mbwa)
Nibaki kulea,wakati kidimbwi kimenuka (niite mbwa)
Niskie pa pa,nisfunge mlango wa duka (niite mbwa)
Nisile bata,kixa ww umesusa (niite mbwa)
[CHORUS]:
(wote)Niko pale,pale nakuxubiry (niite mbwa)
Niko pale,pale nakuxubiry (niite mbwa)
Nipo pa pa,pale nakuxubiry (niite mbwa)
Nipo pale,pale nakuxubiry (niite mbwa)
Aya sasaaaa(woteeee)
xhoga yangu cha kuntisha huna
Usinletee utoto
Malaya gani ata perfume huna
Unanuka changamoto
Cha kuntisha huna
Usinletee utoto
wee Pisi gani ata perfume huna
Unanuka changamoto
Yani mungu awaache mafukara,,awaache mayatima,,awaache na wagonjwa
akutafutie bwana mwenye hela
Umerogwa wewe
Umerogwa wewe(cyo mzima)
Umerogwa wewe
Ety God awaache wenye xhida,,awaache Ukraine,,awaache wenye njaa
akutafutie wa kukuhonga gari
Umerogwa wewe
Umerogwa wewe(cyo mzima)
Umerogwa wewe
Haina mbambamba wala ubabaifu shishi ni mmoja tu na usifosi bifu