Sitaki Mazoea Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Sitaki Mazoea - Shilole
...
Eyoo makaka acheni kuongea kama makoko
Shishi food mnagongea hadi ukoko
Leo mmejikuta makontawa
Kinyimbo kimoja mnamuita bwanangu chawa
Ama kweli masikini akipata bwata
Makalio yake hulia mbwata mbwata
Ila ya kwenu yanalia prakatata
Chungeni sana msije mka pakatwo
Sitaki mazoea
Sitaki mazoea
Sitaki mazoea
Sitaki mazoea
Watoto wa kiume akili za kidada
Si mlitaka kiki leo mtajimada
Mwasafiria nyota na mmekosa mada
Nawavalisha vijola na niwapake poda
Ama kweli masikini akipata bwata
Makalio yake hulia mbwata mbwata
Ila ya kwenu yanalia prakatata
Chungeni sana msije mka pakatwo
Sitaki mazoea
Sitaki mazoea
Sitaki mazoea
Sitaki mazoea