Malele Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Malele - Shilole
...
Nahreel... Ahh toleka... Shishi baby! ahh aa toleka ahh aa kabinang'ai ashi akina ah aa mkono usiguse shavuni, ishara ya huzuni. uchafu yake sabuni shoga ah kajisugue,
Analelua, kansimulie×2
mahaba ninyonge chumbani hata hadharani,
we anakujua nani nmechorwa tatoo,
bridge;
haa hubby nipe mimi tu, achana na watu,
washakusema sanaaa ah washasema mengi,
hayana msingi, washasema mengi
hayana maana
ana malele huyo ×2
analelua, kansimulie×2
Mmepata nini tangu muanze kunisema?
Nimeachwa lini mpaka mpate la kusema?
unang'ata unauma unang'ata, heri ya kibaka ataiba ataondoka.
bridge;
haa hubby nipe mimi tu, achana na watu,
washakusema sanaaa ah washasema mengi,
hayana msingi, washasema mengi
hayana maana
ana malele huyo ×2
analelua, kansimulie×2
Shoga ubebeki kila siku kesi,
mbona mikosi hauishi nuksi
bridge;
hubby nipe mimi tu, achana na watu,
washakusema sanaaa ah washasema mengi,
hayana msingi, washasema mengi
hayana maana
ana malele huyo ×2
analelua, kansimulie×2