Sitaki Mazoea ft. Jay Melody Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Sitaki Mazoea ft. Jay Melody - Shilole
...
nimetulia mi sinaga papara
ukizingua nakunyoa kipara
nikiwa zanzibar samaki masala
nikiwa mwanza sato sangara
maneno kunisema sema
maisha yangu yamegeuka sinema
nikifurahi we unashindwa kuhema
mabalaa leo nayafanya tena