Viuno ft. G Nako Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Viuno ft. G Nako - Shilole
...
Wanachechema Ma ma ma chechema
Yeah yeah, machechema ma ma
Shishi Gang ma ma machechema
Wanachechema, Ma ma ma chechema
In another one (S2kizzy baby)
Machechema ma ma ma
Nishafika na Machizi club tunabang, bang
Tupo full Shishi Gang, gang
Level hizi hufiki kaa pembeni (mbeni)
Siwaoni top ten
Nawazoom watoto wadogo jinsi wanvyo tapatapa
Natema sumu wanabaki nyakanyaka
Chum chum nawaona takataka, takataka ta takataka
Wameshanichokoza na siwapi nafasi
Ni ngoma juu ya ngoma
Sitoi tena nafasi mpaka waseme basi Shishi baby ni noma
Wengine wanakata VIUNO
Wengine wanakatika VIUNO NO
Wengine wanakata VIUNO
Wengine wanakatika VIUNO NO
Wengine wanakata VIUNO
Wengine wanakatika VIUNO NO
Wengine wanakata VIUNO
Wengine wanakatika VIUNO NO
Nakula bata la kila aina
Kama mbele mi ni China
Wameshafia hata hawafiki final, final, final
Kama mbele mi ni China
Wameshafia hata hawafiki final, final, final
Na kama hakuna siti tunajipekecha
Tunadai risiti ila hatutoi pesa
Weka mali giti zinanesa nesa
Hesabu nyingi club tunaingia na Maresa?
Hatupishani na gari la mshahara
Mpe bia akuelekeze pakulala
Ipindue Insta ukutane na makala
Sahau mpira ukutane na nakala
Konki yaani na una mke nyumbani hapo ndo mtihani
Mwaga radhi dada kwani atakujua nani
Ah mm mm Change ki mm kiparty kati mm mm
Wengine wanakatika VIUNO NO
Wengine wanakata VIUNO
Wengine wanakatika VIUNO NO
Wengine wanakata VIUNO
Wengine wanakatika VIUNO NO
Wengine wanakata VIUNO
Wengine wanakatika VIUNO NO
(Kaa chini moja mpaka Chini spend the party
Chini moja mpaka chini kaiva
Chini moja mpaka Chini spend the party
Chini moja mpaka chini kaiva)
Mwaga vitu twende kazi VIUNO
Shangazi kakata shanga VIUNO NO
Iyo kanga mwagia maji VIUNO
Kwa Papa pipi, pipi papa
VIUNO NO.