Kama kuku Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Kama kuku - Pillars of Faith Ministers
...
Kama kuku na vifaranga nliwakusanya mwanadamu ulikataa kunisikia,
kinywani mwangu nitawatoa ghathabu yangu mtaona nitawatupa moto milele iwe ni fundisho kwenu×2
(Kwa Nini) kwasababu mlikataa kuisikia sauti (yangu )ikiwasihi kwa upole mzitubu dhambi zenu
Walioitikia wito watamlaki mwokozi (Yesu)akishuka na utukufu toka mbinguni na kwa mabawa watapaa juu wakiruka kama ndama wakizunguka kiti cha enzi wakiimba hallelujah ×2
(Kwan Nini )walipiga vita vyema ushindi wakaupata vinono tele mbinguni milele hata milele