Upendo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Upendo - Pillars of Faith Ministers
...
Mbona chuki kati ya waumini wapi upendo, upendo ule wa kwanza kwanini sasa tuwe na utengano ikiwa tumeokolewa kwa neema tutaketije pamoja na Mungu aliye mtoa mwana wake wa pekee wapenzi nawasihi tupendane ikiwa tu watoto wa Mungu ×2
Upendo huvumilia, haujivuni haukosi kuwa na adabu hautafuti mambo yake kamwe tena huvumilia udhalimu (na) ikiwa tuna upendo tu wake Mungu wapenzi tutafute upendo ×2
Eeeh Mungu wewe ni nguvu yetu ilete baraka kwetu sisi wana wako haki yako iwe ni nguvu yetu uwe faraja yetu hata kwa machungu upendo na amani tujazie undugu uzidi uhasama na kisasi mbona majirani tunapigana tufunze upendo tukakumbatiane ×2
Upendo huvumilia, haujivuni haukosi kuwa na adabu hautafuti mambo yake kamwe tena huvumilia udhalimu (na) ikiwa tuna upendo tu wake Mungu wapenzi tutafute upendo ×5