- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Imba - Pillars of Faith Ministers
...
Wakateseka ulimwenguni humu kwenye hadhira wakapata vichapo wakatengwa nao marafiki na majaa pia nao wakatiwa gerezani Paulo n Sila maisha Yao yalifurika,,,,,, waliomba kwake muumba usiku wa manane walizidisha kuimba*2
Kwenye mizungu ya Dunia tunafikishwa usiku wa manane Giza Totoro linafunika
maisha yetu twapoteza tumaini kuja nanyi familia mahusiano kazini hata huduma ya muziki utafikishwa usiku wa manane naomba upate ukiwa tayari wimbo wa sifa utakuja tia nawe ubavuni uimbe