Imbeni sifa wasafiri Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Imbeni sifa wasafiri wa mbingu
Nyimbo tamu nyimbo zenye furaha
Pigeni zeze pigeni tarumbeta
Sauti zenu zitoe sifa kwa bwana ×2
CHORUS.
Njooni nyote tumwimbie bwana
Maana yeye ametenda mema
Japo tulitanga mbali na bwana
Mikononi mwake alitubeba×2
Pigeni zeze pigeni tarumbeta
Waliogizani waone nuru
Waliofungwa na mwovu wawe huru
Neema ya bwana itawaweka huru×2
CHORUS×3