Mbona wataka litue Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Mbona wataka litue - Pillars of Faith Ministers
...
............................
Mara nyingi tumetamani jua litue eh
shida zetu zinapo tusonga
Jua litue tupate pumzika,shida zetu zatungoja keshoye×2
Chorus
Mbona wataka jua litue na shida zako bado zakusonga,
Amuru jua na mwezi kusimama
Hadi Mungu atakapo kushindia×2 aaah
Miujiza gani wangoja Mungu akatende
ndipo ufahamu tu vitani
Unazo nguvu,ondoa msongo, inua mkono muite Muumba×2
Chorus×2
Acha kufunika macho kama bundi
Acha kuyafumba macho kwa ulevi
Shida zako zinapokushinda
Simama aaah, simamaaaaa
Chorus×6