Nyundo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Nyundo - Pillars of Faith Ministers
...
.......
nilikua kwenye halaiki,
Yesu alipokufa
nikamuona alivoning'inia
Mwokozi wangu
nikaliona taji la miiba na vijito vya damu yake huyu ndie tabibu wetu Sasa mmemfanyia nn nikajitosa miguuni na kwahasira nikaita
ninani kamtundika hapo juu mtoto wa amani...
Ni Nani kamtundika hapo juu jitokeze unikabiri......
Ni nani kamtundika hapo juu na halaiki ikanichekelea nikageuka nikaiona nyundo mkononi mwangu×2
Mimi mwanajeshi wa kirumi mtu wa kawaida nina mpenzi na watoto wangu najikaza tu...
Nivipi ningemuua Yesu kweli Kuna mtu mwingine siweze beba hizo lawama Kuna kuchanga nyikiwa hapa siwezi kuwa mchukiwa nila Zima mniambieeee..
Nina nani kamtundika hapo juu mtoto wa amani....
Ni nani kamtundika hapo juu jitokeze unikabili...
Nina kamtundika hapo juu na halaiki ikanichekelea nikageuka nikaionaaaa
Ni mimi niliemtundika juu mtoto wa Aman...
Ni Mimi niliemtundika juu Mimi mchukiwa mkuuu
Ni Mimi nilie mtundika juu kwa dhambi hata na maasi yanguuuu
Mwenye imani Nina kuasi nampiga nyundo tena×3