![Mene Mene...](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/10/378936a225ee4f7c9a73b7cf47f2aa13.jpg)
Mene Mene... Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mene Mene... - Pillars of Faith Ministers
...
ulikabidi mwenyewe shambani lilokuwa lako kwa utenda kazi wa mungu
ukalitoza kwa hiali ukapata faida tere
Anania ulikiri bila kushuurutishwa mapato hayo si yako yarete kazini mwa bwana
mbona twavitia doa vitakatifu vya hekaru kama mfalme belshaza
tahathalini siku yaja mtalipwa thawabu yenu
mene mene teker peresi gathabu ya mungu yawajia
enyi kizazi cha uongo
belshaza sikiliza kilichotengwa kwa mungu kisiwe cha ubinafsi kwa mtu yeyote
ulitamani kuwa moja wa kudi la wahudumu shambani mwake yehova hata kwa kinywa ukakiri
hatimaye ukapewa fursa ya kuwa miongoni mwao
mbona sasa ushirika waendelea bila wee pale nadhili uliitoa kwa mungu kumbuka watumia muda wake..............................
usijelia utakapoona mkono waandika ukutani