![Manukato](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/AE/5E/rBEeNF2a6sKASrULAACV4wdYwj0288.jpg)
Manukato Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Manukato - Fanuel Sedekia
...
mmmmh
mmmmhhh
Umeweka wimbo, kinywani mwangu
Bwana niimbe sifa zako, umeniumba ili nikiabudu
Nakuabubu, nakuabudu
uuuhh uhhh uuhh weewee
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato.
weeweee
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato.
Wewe niko ambae niko
Milele ilopita na milele ijayo
Sioni cha kunishibisha moyo wangu
Badala ya kukuabudu mtakatifu
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato
weeweee
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato.
weeweee
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato.
(Peke yako wastahili)
Wewe (wastahili) uketie (wastahili jehova) juu (wastahili) ya vyote
Sifa hizi (Haleluyaa) zifike kitini pako
Wimbo huu ukawe manukato.
Manukato (Manukaaatooo)
Manukato (Kama sadaka ya Abel)
Manukato (Kama zaburi ya Daudi)
Manukato(Kama sadaka ya Abel)
Manukato (Kama zaburi ya Daudi)
Manukato
(manukato, manukato, manukato)
Manukato
(manukato, manukato, manukato)
Manukato
(Haleluyaa, haleluyaa, haleluyaa)
Manukato
(Nakupendaa Bwanaa wimbo huu ukawe)
Manukatoo (uuuh uuh uhh)
............... qtfairy.........