![Tutakwenda Na Wana Wetu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/57/rBEeM1qmOjyADwm7AAEd9qxay0U387.jpg)
Tutakwenda Na Wana Wetu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Tutakwenda Na Wana Wetu - Fanuel Sedekia
...
Farao akamuambia musa, nitawaruhusu muende, hili mkamchinjia dhabibu mwana mungu wenu, lakini hamtaenda Bali sana, lakini nikina nani watakao kuenda, , , , , oooooh, , musa akajibu farao
Tutakuenda na vijana wetu,
Tuta kuenda na wazee wetu,
Tuta kuenda na watoto wetu, kondoo zetu na ng'ombe zetu