![Manukato](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/57/rBEeM1qmOjyADwm7AAEd9qxay0U387.jpg)
Manukato Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Manukato - Fanuel Sedekia.
...
Mmmmmmh mmmmhh mmmhhhh
Umeka wimbo kinywani mwangu bwana niimbe sifa zako umeniumba ili nikuambudu nakuabuuudu
CHORUS
Weeeeweee
Wewe uketie juu ya vyote sifa hizi zifike kitini mwako wimbo huu ukawe manukato×2
Verse2
Wewe ni niko ambaye niko milele iliyo pita na milele ijayo sioni cha nikishibisha moyo wangu badala ya kukuabudu mtakatifu
CHORUS
Peke yako wastahi
Wastahili jehova
Verse3
Kama sadaka ya abeli(manukato)
Kama zaburi ya daudi(manukato)
Manukato×4
Haleyula bwana
Nakupenda bwana
Written by @sagebonque