Ni Wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Ni Wewe - Fanuel Sedekia
...
Ni wewe, ni wewe bwana x2
Ni wewe, ni wewe bwana x2
Ni wewe, ni wewe bwana x2
Ni wewe, ni wewe bwana x2
Ni wewe unayetujali, ni wewe bwana ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe unayetupenda, ni wewe bwana ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe uweza ni wako,
ni wewe bwana ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe uweza ni wako,
ni wewe bwana ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe, Mamlaka ni yako,
ni wewe bwana ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe uweza ni wako,
ni wewe bwana, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
ni wewe ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe, ni wewe,
Ni wewe, ni wewe,
ni wewe, ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ndiye ngome yetu,
Ni weza msaada wetu, we Ba
Ni wewe ndiwe baba yetu, Jehova
Ni wewe ndiwe jemedari wetu,
Ni wewe, ni wewe X ....
Rohoni, ni wewe,
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
ni wewe, ni wewe
Twakutazama wewe
Ni wewe, ni wewe
kwa kuwa ufalme ni wako
Na nguvu, na utukufu
na hata milele, milele, milele, milele milele